Full-Width Version (true/false)


Breaking : Christopher Chiza Ateuliwa kugombea Ubunge BuyunguKikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi leo jijini Dar es Salaam kimemteua Ndg. Christopher Kajoro Chiza kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Buyungu -kigoma kwa tiketi ya chama hicho.

Uchaguzi huo utafanyika  Agosti 12 mwaka huu kufuatia kifo cha aliyekua mbunge wa jimbo hilo Kasuku Samsoni Bilago wa CHADEMA kufariki dunia mwezi mei.

No comments

Powered by Blogger.