Full-Width Version (true/false)


Gwajima atuma pongezi kwa familia ya Makonda
Mwanasheria na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Methusela Gwajima ,ameipongeza familia ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume.

Gwajima ametoa pongezi hizo katika ukurasa wake wa Mtandao wa kijami wa INSTAGRAM  leo  na kusema kuwa mengi yalisemwa lakini Mungu ni anatosha.

"Hongera sana ndugu zangu kwa kupata zawadi ya mtoto mengi yalisemwa lakini  kwa hakika Mungu wetu anatosha kwani hujibu kwa wakati wake maombi daima ni silaha bora kwa aduizetu'. ameadindika Gwajima.

Itakumbukwa kuwa Gwajima  na Makonda ni marfiki wa muda mrefu wakati wa shida naraha ,marakwa mara amekuwa akiamini utendaji kazi wa Paul Makonda kuwa ni kiongozi ambaye ni mfano wa kuigwa  na  kusisitizakuwapuuza maadui wasiomtakia mema katika utumishi wakeulio tukuka.No comments

Powered by Blogger.