Full-Width Version (true/false)


Huyu ndie kocha mpya wa ChelseaMaurizio Sarri ametangazwa rasmi kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea na kurithi mikoba ya Antonio Conte Stamford Bridge.
Conte ametimuliwa hapo jana siku ya Ijumaa baada ya ufalme wake wa miaka miwili kwenye klabu hiyo iliyopo Magharibi wa mwa jiji la London.


Sarri ameachana na timu yake ya zamani ya Napoli na kutua Chelsea baada ya kuinoa kwa msimu mitatu klabu hiyo inayo shiriki ligi ya Serie A huku aliyekuwa meneja wa Chelsea Carlo Ancelotti akitarajiwa kupokea kijiti cha kuinoa kikosi hicho.

No comments

Powered by Blogger.