Full-Width Version (true/false)


Kamanda Gilles Muroto karudi tena mbele ya camera


Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto amethibitisha kukamatwa kwa Charles Mbise (23) anayetuhumiwa kufanya unyang’anyi kwa kutumia kisu akidaiwa kumpora Mwajiri wake fedha zaidi ya Shilingi Million 17.

Tukio limetokea katika kituo cha mafuta cha AfroOil kilichopo Ipogolo Iringa na kisha kutaka kutorokea mkoani Arusha kwa kupitia Dodoma 

>>> ”July 16, 2018 Mkonze Dodoma katika kituo cha ukaguzi wa magari Charles Mbise akiwa ndani ya Basi akijaribu kutoroka kwenda Arushaalisema Muroto

No comments

Powered by Blogger.