Full-Width Version (true/false)


Kaseke arejea "nyumbani" Yanga, rasmi atambulishwa ndani ya njano na kijani


Kiungo Deus Kaseke naye ameamua kurejea “nyumbani” Yanga ambako amesaini mkataba wa miaka mitatu.

Kaseke amejiunga na Yanga akitokea Singida United ambayo ilimsajili akitokea Yanga.

Kiungo huyo aliyeanza kuonyesha cheche zake akiwa Mbeya City, ametambulishwa leo tena rasmi.

No comments

Powered by Blogger.