Full-Width Version (true/false)


Mama Daimond afurahia keki aliyopelekewa na mtoto wa Hamissa Mobetto

Mama Diamondplatnumz {mama Dangote} asheherekea siku ya ya kuzaliwa ambapo alifanyiwa suprise part na mwanaye Esma  na kupokea ZAWADI ya KEKI kutoka kwa mjukuu wake Daylan Mtoto wa HAMISA MOBETTO.

Mama Daimond alionekana akiifurahia zawadi hiyo ya keki kutoka kwa mjukuu wake huyo kitu kilichoonyesha kuwa mama huyo hana tatizo lolote na mjukuu wake na kufurahia zawadi hiyo na kutaka ianzwe kukatwa keki hiyo kati ya keki nyingi alizoletewa zawadi kwenye part ya sikukuu yake ya kuzaliwa.

“Basi nianze ya mume wangu Daylan naona kila mtu anang’ang’ania” mama Dangote

Esma Alisikika akisema “huyu Daylan hana tatizo lolote na yeye ni malaika na maisha yenyewe madogo haina haja ya kuchukiana sasa hivi watu tumekuwa Daylan hana Dhambi”

No comments

Powered by Blogger.