Full-Width Version (true/false)


Mapokezi ya Ufaransa baada ya kuwasili na Kombe la Dunia Ufaransa


Timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kutwaa taji la World Cup 2018 kwa kuifunga Croatia kwa magoli 4-2, leo wamewasili Paris na kupokelewa kishujaa na raia zaidi ya milioni 1 wanatajwa kukusanyika sehemu mbalimbali Paris kwa ajili ya kulipokea taji hilo.No comments

Powered by Blogger.