Full-Width Version (true/false)


Mbwa mwenye sura mbaya zaidi afariki Dunia

MBWA wa Kiingereza mwenye umri wa miaka tisa aitwaye Zsa Zsa alifariki jana baada ya kushinda mashindano ya kutafuta mbwa mwenye sura mbaya zaidi duniani yaliyofanyika mwezi uliopita katika maonyesho ya Sonoma-Marin Sonoma-Marin, Petaluma, California.


Mmiliki wake, Megan Brainard, wa  Anoka, Minnesota, alipata  Dola 1,500 (Sh. mil. 3.4) kwa ushindi wa  Zsa Zsa abaye alifariki ghafla.

No comments

Powered by Blogger.