Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake wa Baila aliomshirikisha nguli wa piano duniani, Miri Ben-Ari kutoka Marekani. Wimbo wa Baila unapatikana kwenye album yake ya A Boy From Tandale na ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa video yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu. itazame hapo chini DOWLOAD APP YA MTILAH BLOG KWENYE SIMU YAKO ILI KUPATA HABARI ZETU ZOTE KWA HARAKA NA RAHISI ZAIDI,BONYEZA HAPA
No comments