Full-Width Version (true/false)


PICHA: Mke wa Kibonde azikwa Makaburi ya Kinondoni DSM

Ieo July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake katika makaburi ya Kinondoni.


No comments

Powered by Blogger.