Full-Width Version (true/false)


Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine

 

Leo Julai 11, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi, na kumteua Casmir Sumba Kyuki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (UTT AMIS) iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.


No comments

Powered by Blogger.