Full-Width Version (true/false)


Sheikh Kipozeo afunguka baada ya kusikia Diamond kavaa ‘kikuku’ (Video)Sheikh Kipozeo ambaye amekuwa akitoa mawaidha katika mambo ya maadili, amefunguka ishu ya wanaume kuvaa cheni miguu ambapo amedai wanaume wanaojifanisha na wanawake kwa kuvaa cheni wamelaaniwa na Mwenyezi Mungu. 

Kipozeo amesema sio kwa Diamond tu wanaume hawaruhusiwi kuvaa vitu ambavyo vinavaliwa na wanawake.

No comments

Powered by Blogger.