Full-Width Version (true/false)


Steve Nyerere kwenda kumtembelea Muna ‘labda tufukuzwe lakini nimeshamsamehe’Msanii wa filamu Steve Nyerere amedai kuwa yote ambayo ameongea Muna siku ya jana kuhusu yeye sio ya kweli na tayari ameshamsaheme ambapo amepanga safari ya kwenda kumtembelea akiwa na Wema Sepetu. Mapema jana Muna alidai sio kweli kwamba alimwambia Steve Nyerere msiba ufanyike Mwananyamala kama ambavyo muigizaji huyo alidai.

No comments

Powered by Blogger.