Full-Width Version (true/false)


Trump aipigia saluti timu taifa ya Ufaransa, atoa neno kwa Rais Putin juu ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2018
Rais wa Marekani, Donald Trump ameipongeza timu ya Taifa ya Ufaransa kwa kutwaa Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Croatia.
Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema Ufaransa wamecheza vizuri zaidi dhidi ya Croatia na wamestahili kwa ushindi huo huku akimpongeza Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kmaandalizi mazuri ya kombe la Dunia 2018 na kudai kuwa ni moja ya michuano iliyoandaliwa vizuri kuwahi kufanyika duniani. Hata hivyo haijulikani Trump ni alikuwa anashabikia timu gani kwani timu yake ya taifa ya Marekani ilishindwa kufuzu Kombe la Dunia.

No comments

Powered by Blogger.