Full-Width Version (true/false)


Ufaransa yatinga fainali kombe la DuniaTimu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuifunga Ubelgiji bao 1 – 0.

Ufaransa imetinga hatua hiyo ya fainali baada ya kupata bao lake dakika ya 51 kupitia kwa Umtiti.

Mchezo wa pili wa nusu fainali unatarajiwa kupigwa leo baina ya timu ya taifa ya Uingereza dhidi ya Croatia ambapo mshindi wa mechi hiyo atakabiliana na Ufaransa tarehe 15 siku ya Jumapili.

No comments

Powered by Blogger.