SHIRIKA lisilo la kiserikali la Russian liitwalo “Alternative”
limefichua kwamba Wanigeria wapatao 400 waliokwenda kushuhudia Kombe la
Dunia nchini Russia, wamekwama nchini baada ya kugundulika kwamba
waliuziwa tiketi feki.
Kati ya hao, 60 wamelazimika kulala nje ya ubalozi wa Nigeria nchini
humo ambapo ubalozi huo umesema utawahifadhi hapo kwa siku mbili tu na
haujasema nini kitafanyika baada ya muda huo kwisha.
No comments