Full-Width Version (true/false)

Waziri mkuu KasimMajaliwa apewa heshima ya kuwa mzee wa kisukuma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiufanyia majaribio  upinde aliozawadiwa na wazee wa mila wa Kisukuma katika kijiji cha Tinde mkoani Shinyanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde mkoani Shinyanga kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 14, 2918. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wazee wa Mila wa Kisukuma wakimsikiliza Waziri Mkuu ,Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Kituo cha Afya cha Tinde ya Tinde mkoani Shinyanga, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Mila wa Kisukuma   baada ya wazee  hao kumpa heshima ya kuwa Mzee  mwenzao  katika mkutano wa hadhara aliouhutubia katika uwanja wa Kituo cha Afya cha  Tinde mkoani Shinyanga, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.