Full-Width Version (true/false)


WhatsApp ilivyookoa maisha ya Mama mjamzito LindiWaziri wa Afya Ummy Mwalimu amefanya ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza, ambapo pamoja na shughuli zake za kikazi amesema tayari Wizara yake imeunda Group la WhatsApp litakalo jumuisha Waganga Wakuu wa Mikoa ili kusaidia kupata Taarifa za Wagonjwa upesi.

“Tumeamua kuanzisha WhatSapp group ya Madaktari bingwa ya Afya ya uzazi, wakati tunaongeza madaktari bingwa lakini hatutoweza kuongeza wakutosha, mtu akipata tatizo anaweza kutoa taarifa, kuna Mama alipata tatizo na group ikaweza kumsaidia kuokoa maisha yake” Waziri Ummy

No comments

Powered by Blogger.