Full-Width Version (true/false)


Zari azua gumzo mtandaoni kwa picha hii.


Mwanamke mjasiriamali @zarithebosslady Aingia katika Headline na kuzua sinto fahamu mtandaoni baada ya kupost Picha hii akiwa katika mahaba mazito na mwanaume wa kizungu…. Tukio hili limewaacha mashabiki katika maswali mengi kuwa ndiye Mrithi wa @diamondplatnumz Au sio…Mpaka sasa haijafahamika Kama kidume huyo ana mahusiano ya kimapenzi na zari au ndio mambo ya kizungu.

No comments

Powered by Blogger.